Friday, July 24, 2009

Mkataba wa Kanisa na

Serikali waanikwa




http://www.raiamwema.co.tz/images/bul2.gifMashehe wataka nao wahusishwe

http://www.raiamwema.co.tz/images/bul2.gifAskofu asema ni mkataba usiobagua

http://www.raiamwema.co.tz/images/bul2.gifSerikali ya Kikwete njia panda


SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete, imezidi kuingiwa na misukosuko inayogusa waumini wa dini mbalimbali, na sasa kumeibuliwa hati ya makubaliano (MoU) ambayo Serikali iliingia na makanisa nchini. Makubaliano hayo yalikuwa hayafahamiki kwa Watanzania wengi.

Hati hiyo ya makubaliano, ambayo ilisainiwa na Serikali wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, inaelezwa kuzipendelea zaidi taasisi za Kikristo zinazotoa huduma nchini.

Baadhi ya viongozi wa Kiislamu nchini, wameliambia Raia Mwema wiki hii kwamba mkataba kama huo waliouandaa ulipata kukataliwa na serikali pamoja na kuwa ulifanana kwa kila kitu na huo...bofya na endelea>>>>>


No comments: