Friday, July 24, 2009

Kama wanateua mawaziri bila

kuangalia vipaji, kwa nini wasifanye

kwa wachezaji pia?



Kwa Waziri wa Mimiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Frank mpenzi wangu,

Habari za huko jamani? Pole sana ya upweke wa kumkosa Hidaya wako hata kama Hidaya anakuwazia kila dakika. Lakini angalau una watu wa kuongea nao huko. Dada yupo na shemeji yako na unaweza hata kucheza na watoto wao.

Mimi mwenzio nitaongea na nani hapa? Bosi? Mama Bosi? Afadhali kidogo Binti Bosi lakini yeye siku hizi, kazi yake kusoma tu. Hivyo nabaki naongea na sufuria nikiona sura yako ndani yake, naongea na kifagio nikifikiria ni wewe uliyeleta matope humu ndani na ninaporudi chumbani naongea na mto kwa jinsi ninavyoona upweke….bofya na endelea>>>>>


No comments: