Saturday, July 25, 2009

TANZANET yamsaidia

Albino Mariam Stafford






Tanzanet ni wanajumuiya mtandao

waliosambaa duniani.

Tanzanet ni kwa wanachama tu.

Ukitaka kuwa mwanachama wa Tanzanet

unaweza kujiunga kupitia tovuti yao:

http://www.tanzanet.org/int/

Ni Dala 10 za Kimarekani.

Ni bure kwa waishio Tanzania.

No comments: