Thursday, July 30, 2009


Uzushiiii!





TUKO kijiweni kama kawaida, tunawaza jinsi nji inavyokwenda, tunafikiria malumbano haya yanayoanzia makanisani na misikitini na kuangalia mustakabali wa nji hii, ambayo ina Serikali isiyo na dini lakini watu wake ni waumini na waamini na wengine watambikaji.

Haya yako juu ya vichwa vyetu, hivyo hayatumalizii muda wetu, kwa kuwa sisi wa vijiweni ni nadra kumsikia hata mmoja wetu akizungumzia kuwa siku moja atakuwa mjengoni pale, ajikamua, akijikakamua na kutunisha mishipa ya shingo kulalamikia yaliyoshindikana miaka hiyo…..bofya na endelea>>>>>

No comments: