Speaker fears for his safety
THE Speaker of the National Assembly, Samwel Sitta, announced in parliament yesterday that he now fears for his physical safety after increasingly becoming targeted by political enemies aligned with forces of corruption in the country. In an unprecedented move, Sitta directly asked Prime Minister Mizengo Pinda to provide him with extra security protection, saying he could be in real danger.
’’Honourable Prime Minister, I request extra security protection. This is a very big war,’’ he declared in parliament…..more>>>>>
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta ameiomba Serikali kumwongezea ulinzi kwa kuwa mafisadi wameongeza nguvu ya vita dhidi yake.
Spika Sitta alisema hayo alipokuwa akizungumzia tuhuma dhidi yake, zilizoripotiwa jana na baadhi ya vyombo vya habari (sio Mwananchi) kuwa anafanya njama kuchoma nyaraka za Bunge.....bofya na endelea>>>>>
Uhuru
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, ameiomba serikali kumuongezea ulinzi kutokana na kile alichosema kuongezeka kwa maadui wake. Alisema hayo bungeni jana, baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Kwa mujibu wa Spika, kumejitokeza kundi la watu ambao wamekuwa wakitoa taarifa mbalimbali na kumtuhumu kuhusika na matumizi mabaya ya fedha za Bunge.....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment