Friday, August 21, 2009

Bosi hataki hadi matairi yanakuwa

vipara kama fisadi zoefu



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

We Bwana, nashukuru sana ulivyokuja mara moja. Sasa Hidaya anaimba kazini hadi Mama Bosi anamwuliza kulikoni.

Mabosi Bwana. Nikinuna ana wasiwasi, nikifurahi ana wasiwasi pia. Maana yake nini? Kwa mawazo yangu, wanajua hawatufanyii mema ndiyo maana wana wasiwasi tukionyesha hisia ya aina yoyote. Akome na wasiwasi wake! Laiti angejua mpenzi kwamba ni kutokana na kumwona laaziz wangu baada ya muda wote huo. Raha iliyoje!

Bofya na endelea>>>>>


No comments: