Sunday, August 23, 2009

Epuka kuvinjari

kwenye tovuti hizi!

Kampuni ya Symantec inayohusika na usalama mtandaoni imetoa orodha ya tovuti kadhaa ambazo ni hatari kuzipitia. Symantec inasema kuwa hizo tovuti zinaeneza virusi vya kompyuta kupitia ”Operative Systems” za PC na za MAC.

Bofya na angalia hizo tovuti hatari.

No comments: