Gari laingia dukani
Majorstuen mjini Oslo
Jana usiku kwenye kama saa 20.40 CET, dereva mmoja aliendesha gari lake moja kwa moja na kuingia kwenye duka moja liitwalo Poulsson kama picha inavyoonyesha. Inasemekana dereve huyo alishikwa na kifafa cha muda ghafla kabla ya tukio hilo lililotokea kwenye taa za trafiki eneo la Majorstuen mjini Oslo. Kikosi cha wazima moto na polisi kilikuja haraka na kumwokoa dereva huyo na kumpeleka kwenye hospitali ya Ullevaal. Hali ya derva huyo sio mbaya sana.
No comments:
Post a Comment