Monday, August 10, 2009


Spika achochea moto wa Malecela

ASEMA NCHI INA UFISADI WA KUTISHA,

ATABIRI UGUMU KWA WABUNGE 2010



Spika wa Bunge la Tanzania, Ndg. Sitta.


Na Ramadhan Semtawa

SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amejitosa katika mjadala ulioanzishwa na makamu mwenyekiti wa zamani wa CCM, John Malecela, akisema ufisadi nchini umefikia kiwango cha kutisha kutokana na baadhi ya watu, wakiwemo wanasiasa kuwa na utajiri ambao vyanzo vyake havina maelezo.

Wiki iliyopita Malecela alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuwa suala la ufisadi litawaweka pabaya wabunge wengi wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2010, huku akisema baadhi ya wabunge wanaweza kupoteza viti vyao kutokana na kutoenda majimboni na kutofuata ilani ya CCM.....bofya na endelea>>>>>


No comments: