Friday, August 14, 2009


Tunamshtaki Mungu.

Eti ajali ni kama UKIMWI.

Haina kinga wala tiba



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street.

Bongo.

Mpenzi Frank,

JAMANI mpenzi, nasikitika sana kukuudhi lakini kwa hali halisi ya hapa, siwezi kupata nafasi ya ofu kwa wakati huu. Naona chale za bosi zimemcheza ameanza kuogopa kudondoka mwaka kesho hivyo kila siku anawaita watu wa jimbo lake kula nao na kujenga mikakati ya kuteka mawazo ya watu wasije wakaambukizwa na homa ya upinzani. Wakati dunia inahaha juu ya homa ya mafua, yeye ana homa ya kufuliwa na wapiga kura wake…..bofya na endelea>>>>>

No comments: