Friday, September 11, 2009

Kutamka neno 'sidanganyiki'

si hirizi ya kutoa machizi.




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,


Sidanganyiki Bwana! Sidanganyiki ng’o! Yaani umenichekesha kweli mpenzi. Najua wanitania lakini unafikiri nawajali hao wote wanaonishabikia na kunishobokea?
Nawaona vinyago tu maana niko na wewe na sina haja na mwingine.

Labda na mimi nigeuze kibao. Na wewe wadanganya? Maana huyu mwenzangu wa sidanganyiki ameonyesha kwamba karibu kila aina ya mwanamume yumo ndani ya mashindano ya udanganyifu, utadhani wamepinga nani anaweza kujiletea UKIMWI kwa haraka zaidi kwa kuwarubuni wasichana wengi kuliko wenzao. Wanaume Bwana! ....bofya na endelea>>>>>


No comments: