Soko huria imelala upande mmoja
na sisi hulia katika huria hii
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
VIPI mpenzi wangu? Pole sana ya matatizo! Jamani! Yaani mtu anajitahidi kunyanyuka, akionekana kufanikiwa ananyukwa moja kwa moja. Najua wewe unasema kila siku kwamba maisha ni mashindano lakini nina wasiwasi kama marefa wanajua kuongoza mashindano hayo kwa misingi ya haki na sheria. Lakini utashinda tu shujaa wangu, nakujua.
No comments:
Post a Comment