Wanafunzi 20 000
wanajiuza nchini Sweden
Idadi ya wanafunzi na vijana karibu 20 000 wa Kiswidi kuanzia miaka 16 hadi 25 wanatumia miili yao kama ujasirimali. Hayo yamebainika kwenye ripoti iliyotayarishwa na kitengo kinachoshughulikia masuala ya watoto na vijana (Ungdomsstyrelsens), ambayo imewasilishwa leo kwenye serikali ya Sweden. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa, asilimia 13 wanajiuza kwenye kamera za mtandaoni (web camera). Theluji moja, wamejiuza kwa kujipiga picha na kuuza kwa kutumia simu zao za mikononi na asilimia 43 ya waliobaki hawaoni shida yoyote kama wanaweza kutengeneza pesa kwa kutumia miili yao.
Chanzo: ripoti ya Ungdomsstyrelsens.
No comments:
Post a Comment