Halibaridi asubuhi ya leo -18oC
Picha hizi zimechukuliwa saa 2 asubuhi. 08:00 CET maeneo ya Majorstua, Oslo
Bado kuna baridi kali. Jana hapa Norway palikuwa na halibaridi kali toka majira ya theluji kuanza. Baadhi ya sehemu halibaridi ilifikia-30oC. Utabiri wa hali ya hewa unaashiria halibaridi kuendelea kushuka hadi wikiendi hii. Bado kuna matatizo ya usafiri wa treni kuingia na kutoka Oslo kwa sababu za baridi kali. Jua limetoka.
No comments:
Post a Comment