Kumekucha
Halibaridi -17o C
Picha imechukuliwa toka dirishani leo asubuhi saa 09.00 CET (11.00 EAT)
Magari yemafunikwa na theluji asubuhi ya leo
Kumekucha jama...kumekucha...majogoo vijijini yanawika...wazalendo amkeni tufanye kazi sasa... oh oh...mama...tusonge mbele..Hivi ndivyo marehemu Marijani Shabani alivyoimba miaka ya 70.
Naam kumekucha, kuna ukungu umetanda angani asubuhi hii, mswalie mtume halibaridi inatisha!!!!
Kuna dalili za jua kutoka na leo.
NotaBene (NB):
CET = Central European Time
EAT = East African Time
NotaBene (NB):
CET = Central European Time
EAT = East African Time
1 comment:
Duh! Mhariri wa blogu...
Umenikumbusha mbaaaali sanaaaaa na wimbo huo wa marehemu Marijani "Jabali la Mziki" Shabani. Ni miaka 14 toka ametutoka (Mwenyezi Mungu Amrehemu Huko Aliko)
Nakumbuka nyimbo kama Zuwena, Mpenzi Aisha, Ndoa ya Mateso, Ndugu Umepotea, Georgina na zinginezo.
Hizo zilikuwa enzi za enzi pale Dar es Salaam, amini usiamini!
Bofya na angalia:
http://bongocelebrity.com/2009/03/25/we-still-remember-you/
Marijani...we miss you!
Post a Comment