Kuna utata kama Togo
wamejitoa au la!
Kuna utata kama timu ya taifa ya Togo imejitoa kwenye fainali za mataifa ya Afrika nchini Angola au wataendelea kucheza. Mchezaji wa kiungo wa timu hiyo, Alaixys Romao amenukuliwa na gazeti moja la Kifaransa L´Equipe la leo Jumapili akisema kuwa wachezaji wanataka kucheza japo serikali yao imewaamuru warudi nyumbani. Hivyo hawaoni sababu ya kutocheza.
Chanzo: Le´Equipe (Ufaransa)
No comments:
Post a Comment