Togo yajitoa kwenye fainali
Timu ya taifa ya Togo imejitoa kwenye fainali za kombe la mataifa ya Kiafrika zitakazoanza kesho nchini Angola. Togo imechukua uamuzi huo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutokea Kongo Brazaville kushambuliwa na dereva, kocha msaidizi na ofisa mmoja wa timu kuuawa na wanamgambo wapinzani kwenye la Cabinda nchini Angola.
No comments:
Post a Comment