Wednesday, April 14, 2010

Michezo ya Olimpiki London 2012

unaweza kufuatilia ujenzi unavyoendelea

Mamlaka ya Olimpiki itakayofanyika London mwaka 2012, wametega kamera 6 ambazo zinaangalia sehemu za ujenzi wa Olimpiki ambazo zitawezesha watu duniani kote waweze kuona maendeleo ya ujenzi huo siku baada ya siku mpaka ifikapo mwaka 2012. Kuona viwanja hivyo kwa kupitia njia ya (Live Webcam) bonyeza hapa.

No comments: