Wednesday, April 14, 2010

Norway

Mnaijeria afungwa miaka 2 miezi 10

Alikamatwa na vidude 38 vya kokeini


Picha ya X-ray ya jamaa inavyoonekana.


Mnaijeria mmoja (32) alikamatwa Oktoba mwaka jana kwenye uwanja wa ndege wa Sola mjini Stavanger, akiwa amemeza vidude 38 vya midaharati aina ya kokeini, vikiwa na jumla ya uzito wa kilo moja.

Safari ya Mneijeria huyo ilianzia Madrid, kupitia Amsterdam kabla ya kutua Stavanger na kudakwa na jamaa wa ushuru na forodha.

Jamaa amehukumiwa miaka miwili na miezi kumi.

No comments: