Sunday, May 09, 2010



Chelsea (The Blue) wamechukua ubingwa wa ligi kuu ya England (Premier League) baada ya kuibamiza Wigan magoli 8 - 0 kwenye uwanja wa Stanford Bridge, mjini London. Ushindi huo unawapa Chelsea pointi 86 huku washindi wa pili Manchester United wakiambulia pointi  85 baada ya kuwafunga
Stoke City kwa magoli 4 - 0

Vile vile Didier Drogba amekuwa mfungaji magoli mengi. Amefunga magoli 29 akifuatiwa na Wayne Rooney (ManU) aliyefunga magoli 26.

Washindi wa tatu ni Arsenal (The Gunners) kwa pointi 75

Washindi wa nne ni Tottenham Hot Spurs kwa pointi 70

Tunawavulia kofia Chelsea kwa ubingwa.

No comments: