Thursday, May 06, 2010


Facebook si sehemu ya mazungumzo
ya faragha.......



Kuna tatizo la kiusalama kwenye mtandao jamiii wa Facebook. Mtu anaweza kusoma ”live chat” ya mtu mwingine kwa kubonyeza sehemu ”flani hivi”. Pia mtu anaweza kuangalia sehemu ambazo hapaswi kuangalia kwa sababu ya upenyo huo uliogundulika jana. Mtandao wa TEKNOHAMA wa TechCrunch unaandika.


No comments: