Sunday, May 23, 2010

Harusi ya mamilioni wakati mtu
mwenyewe ni wa malaki tu!



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.



Mpenzi wangu Frank,

Vipi hali yako mpenzi wangu?  Ukiwa mzima na mimi mzima, ukiumwa na mimi naumwa kabisa.   Ndiyo maana nina wasiwasi na wewe maana tangu juzi maungo yangu yote yananitatiza.  Labda ni kwa sababu ya kazi za ziada sijui lakini nisiwe nahema kwa ajili ya homa yako mpenzi.  Niambie.  Isiwe kwamba ugonjwa ambao haukubaliki umekugonga tena.  Maana safari zako za kijijini ili uuze bidhaa zako ni hatari mara nyingine.  Majeshi ya mbu si mchezo.....bofya na endelea>>>>>


No comments: