Saturday, May 29, 2010


Hatutaki waliopikwa kuwa viongozi
bila kukaa na waongozwa!



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

Vipi hali yako kizee changu cha maisha?  Naona itabidi unioe haraka maana ukishavuka umri wa kijana, mimi sina habari unasikia?  Na usiniambie kwamba utaweza kughushi umri wako maana nakujua fika, kuanzia cheti cha kuzaliwa hadi ushahidi wa mwili wako…..bofya na endelea>>>>> 


No comments: