Wednesday, May 05, 2010

Mnene akijidai mwembamba, 
wembamba wafanye nini?



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

Mfanyakazi mwenzangu, mhangaikaji mwenzangu, mla taabu mwenzangu, haujambo? Nakuwazia sana na kutamani niwe na wewe kwa wakati huu mgumu kama jabali la Mwanza. Bora tuhangaike wote kwenye biashara, na kupambana na virungu vya mgambo kila siku kuliko hali hii ya sasa. Angalau tutapigwa virungu kwa pamoja.....bofya na endelea>>>>>


No comments: