Mnegela Shabani Milundumo, Mtanzania mwenye miaka 36 aishie Denmark amehukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa kumwua mkewe, Anne Holmstrøm (27) kwa kumchoma kwa mapanga, kwa visu na baadaye kumnyonga, Oktoba mwaka jana.
Milundumo alioana na Anne mwaka 2003 nchini Tanzania na baada ya ndoa, akaanza kumpa mateso mkewe na alikuwa akimtishia mara kwa mara kuwa angemwua Anne pamoja na watoto wao.
Mpaka sasa Milindumo na wakili wake, hawajaamua kama wataka rufaa au la.
No comments:
Post a Comment