Jela ya anasa kuliko zote duniani!
Jela hiyo iko Halden, mashariki mwa Norway karibu na mpakani na Sweden. Ilifunguliwa na Mfalme Harald tarehe 8.Aprili 2010, ina ukubwa wa eka 75, ina uwezo wa kuchukua wafungwa 252. Kila mfungwa ana chumba chake na kila chumba kina ”Flat screen TV”. Kuna studio ya kurekodia mziki, kuna sehemu ya kufanya mazoezi na mchakamchaka.
Vile vile kuna vyumba viwili maalumu, wafungwa wanaweza kualika wake zao, wanaume zao kwa kulala nao siku moja. Pia jela hiyo ina tovuti yake.
No comments:
Post a Comment