Wednesday, May 05, 2010

Norway

Wengi wasio na makaratasi kufukuzwa

Waziri mkuu wa Norway, Jens Stoltenberg.

Serikali ya Norway imetenga kiasi cha kroner milioni 90 za ziada kwa ajili ya shughuli za kuboresha ufukuzaji wa wageni wanaokaa hapa bila vibali. Hayo yalisemwa na jana na Waziri mkuu Bw. Jens Stoltenberg.  


No comments: