Viongozi wa Tanzania/Wabunge
waige mfano
wa Mbunge wa Singida Mjini,
Mohammed Dewji
Kuna mtu anaweza kujitokeza na kusema viongozi hawapaswi kufanya hivi. Kwa nini? Inawezekana. Rais Obama yuko mtandaoni, Rais Kagame yuko mtandaoni (mfano)
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Sweden, Carl Bildt anablogu kila siku. Bahati mbaya yake iko kwenye Kiswidi:
2 comments:
mtandao unahitaji pesa na wote uliowataja hawaandiki ila wameajili watu
pili watanzania hatuna ushawishi wa kusoma wabunge ndiyo kabisa wanapitisha sheria nyingi bila hata kuzisoma asante Dr Slaa
Blogu toka Blogspot au Wordpress hauhitaji pesa ni bure bileshi!!!
Huyo waziri wa mambo ya nje wa Sweden anaandika mwenyewe!!!! Amini usiamini!
Mhariri wa blogu!
Post a Comment