I am the happiest man in the world. We have made Ghana proud and the whole of Africa proud
--Asamoah Gyan
--Asamoah Gyan
Asamoah Gyan wa Ghana akishangilia bao la ushindi kwenye dakika ya 93
Black Star vs. USA 2 – 1
Mechi imechezwa dakika 120. gadi dakika ya 90, ilikuwa sare moja kwa moja. Zikaongezwa dakika 30, ndipo Ghana (Black Star) walipojipatia goli la ushindi lililofungwa na Gyan.
Uruguay vs. Kores Kusini 2 – 1.
Robo fainali itakuwa Ghana vs. Uruguay
No comments:
Post a Comment