Sunday, June 27, 2010

Obama akiangalia mechi kati ya USA na Ghana


Rais Obama wa Marekani alichukua mapumziko kwenye mkutano wa G-20, ili kuangalia mechi kati ya Ghana na Marekani. Inasemekana Obama alipinga na David Cameron, waziri mkuu kuwa USA ingeifunga Ghana na Cameron kuwa England itaifunga Ujerumani. Obama kashindwa na leo inawezekana ngoma ikawa droo kati ya Obama na Cameron.


No comments: