Black Star wameitoa Afrika aibu!
Kundi C
USA vs. Algeria 1 – 0
England vs. Slovenia 1 – 0
USA wamekuwa washindi wa kwanza wa kundi hili kwa pointi 5 wakifuatiwa na England wakiwa na pointi 5. USA na England wakiendelea kwenye ngwe ya pili ya fainali hizi.
Kundi D
Ghana (Black Star) vs. Ujeumani 0 – 1
Australia vs. Serbia 2 – 1
Ujerumani wamekuwa washindi wa kundi hili kwa pointi 6, wakifuatiwa na Ghana kwa pointi 4. Ujerumani na Ghana wameingia ngwe ya pili ya fainali hizi
No comments:
Post a Comment