Monday, June 28, 2010

Brazil na Uholanzi kucheza kwenye robo fainali

Brazil imeifunga Chile 3 - 0 kwenye mechi iliyokuwa ya msisimko kuliko mechi zote zilizochezwa na Brazil kwenye fainali hizi. Magoli ya Brazil yalifungwa na Juan, Luis Fabiano na Robinho.

Kwenye mechi ingine iliyochezwa leo, Uholanzi imeifunga Slovakia 2 - 1.

Brazil na Uholanzi zinakutana kwenye robo fainali, Ijumaa 2. Julai 2010

No comments: