Waziri mkuu wa Iceland Bi. Jóhanna Sigurdardóttir amwoa mshikaji wake Bi. Jónína Leósdóttir.
Waziri mkuu wa Iceland, Bi. Jónína Leósdóttir, ambaye ni msago, ameoana na mshikaji wake wa siku nyingi, Bi. Jónína Leósdóttir. Harusi hiyo ilifanyika jana Jumapili.
No comments:
Post a Comment