Tuesday, June 22, 2010

iOS 4 kwenye iPhone 3Gs


Apple wameshamwaga “Operative System 4 au kwa kifupi iOS 4” tayari kufyonzwa bure kwa wenye iPhone 3Gs. iOS4 ina vidubwana vipya zaidi ya 100, hivyo basi vitaziwesha iPhone 3 Gs zifanane kidogo kwa matumizi na (siyo kwa sura) na iPhone 4 ambazo zitaanza kuuzwa hapa Norway mwanzoni mwa mwezi wa saba.


No comments: