kwa
Mtandao jamii wa Facebook sasa unapatikana kwa kiswahili, unachotakiwa kufanya ni kwenda chini kabisa ya Facebook yako, kwenye kona ya kushoto utaona lugha unayotumia kwa sasa, kwa mfano English (US), bonyeza hapo na utaona orodha ya lugha nyingi, baada ya apo chagua Kiswahili au bofya kiungo hicho hapo chini.
No comments:
Post a Comment