Mtangazaji huyo wa habari wa televisheni ya 24UR ya nchini Slovenia, alijisahau baada ya kusoma taarifa ya habari kuwa amevaa koti la suti tu juu na nguo ya ndani bila ya suruali.
Bila ya kutegemea alikigeuza kiti chake na kumgeukia mtangazaji mwenzake wa habari wa kike, hapo ndipo watu waliokuwa wakitazamana taarifa ya habari walipogundua kuwa mtangazaji huyo wa habari alikuwa amevaa nguo ya ndani tu akiwazuga watu na koti la suti juu.
Video ya sekunde 17 ya tukio hilo ilinaswa na kuwekwa kwenye YouTube ambako iliwavutia mamia ya watu.

No comments:
Post a Comment