Sunday, September 19, 2010

We...Mnorwejiani?

Unataka kazi ya ujasusi kwenye shirika la ujasusi la Norway? Kazi zenyewe zinahitaji uwe raia wa Norway na elimu ya chuo kikuu si chini ya miaka 3. Angalia tovuti hiyo hapo chini. Mwisho wa kutuma maombi ni Oktoba 6.



No comments: