Sunday, September 19, 2010

We...Mnorwejiani?

Unataka kazi kwenye idara ya usalama ya taifa ya Norway (Politiet sikkerhetstjeneste PST)? Kazi yenyewe inahitaji uwe raia wa Norway na elimu ya chuo kikuu si chini ya miaka 3. Angalia tovuti hiyo hapo chini. Mwisho wa kutuma maombi ni Oktoba Mosi.



No comments: