Monday, October 25, 2010


MwanaReggae Gregory Isaacs 1951-2010
afariki dunia


Mwanamuziki wa Reggae wa siku nyingi, Gregory Isaacs (pichani), amefariki dunia nchini Uingereza jioni hii. Kwa mujibu wa taarifa fupi ya BBC iliyosikika jioni hii, mwanamuziki huyo amefariki hospitali alikokuwa anatibiwa saratani ya maini.


No comments: