Ndiyo maana nasema wanauza utu wao
pamoja na miili yao, bora hata dada poa
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
WE kijana mwenzangu, mzima wewe? Ni matumaini yangu kuwa ni mzima bila wazimu ya vijana wenzetu.
Yaani, unaonaje jinsi vijana wanavyotumiwa kwa wakati huu? Eti wanadanganywa washike mapanga kulinda wanaokaa kwenye maofisi yenye viyoyozi! Kwa vijisenti vichache wanauza utu wao hadi wako tayari kuumiza watu wengine ambao wala hawawafahamu. Kisha watarudishwa katika lindi lao la umasikini huku wale wanayoyoma na viyoyozi vyao…bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment