Maafa Gongo la Mboto
Tatizo lilotokea Tanzania ni tatizo la Watanzania wote!
Mimi kama Miss Africa Scandinavia Michelle Jeng (Mtanzania mwenzenu) ningependa watanzania wenzangu wote mnaoishi Sweden, tujitokeze na kutoa michango ya kusaidia watoto wadogo hapo Gongo lamboto Dar er salaam.
Siku ya Alhamisi tarehe 24/02/2011 kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa tatu usiku (18:00 – 21:00 CET = Central European Time /saa za Ulaya ya kati) ninawakaribisha Kwa kahawa, chai na keki nyumbani kwetu:
Apelgatan 20A Uppsala, Sweden.
Namba ya simu nyumbani: +46 18 15 66 30
Yeyote ambae yuko karibu na Uppsala anakaribishwa nyumbani kwetu wakati huo wa jioni.
Tafadhali njoo na kr 100,- kwa ajili ya mchango wa kupeleka Tanzania.
Kama utashindwa kufika tafadhali tuma pesa katika account hii: SEB 5368 02 660 73 Michelle Jeng.
Tafadhali andika jina lako utakapo weka pesa.Kwa kuwa msaada unahitajika haraka ningependa kuwaomba tuchange haraka ikiwezekana.
Nitahakikisha pesa zote zitakazo kusanywa ziwafikie watoto huko Dar er salaam
Asanteni na karibuni
Michelle Jeng
2 comments:
Ni wazo zuri kabisa Je na sisi wa Norway kaka Semboja unalifikiriaje kwa sisi watanzania tulioko hapa Oslo na Norge kwa ujumla, kutoa ni moyo na ni tatizo letu sote watanzania tujulishe kupitia blog hii, mdau Oslo.
Nipigie simu basi tuzungumze.
Simu yangu: +47 99 89 58 55
Post a Comment