Mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto
Jana usiku kulitokea mlipuko wa mabomu kwenye kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto. Mabomu hayo yamesikika sehemu kadhaa za jiji na mkoa wa Dar es Salaam. Watu wamepatwa na kiwewe, kwani kizazaa kilichotokea Mbagala, watu hawajakisahau.
Majeruhi kadhaa walipelekwa (hauijulikani ni watu wangapi wamejeruhiwa) walipelekwa kwenye hospitali ya Amana, Ilala na Muhimbili kwa matibabu.
Picha kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment