Monday, February 28, 2011

Remy Martins selo miaka 8


Kwa wale wote ambao walikuwa awajui …ni kuwa mwanadada Remy Martins wa Terroe Squad alienda jela mwaka 2008 baada ya kuusuka kwenye tukio la kurushiana risasi na kusababisha kifo cha mtu mmoja… Mwanadada ataendelea kuwa jela kwa mda wa miaka 8…, Kuanzia juzi mwanadada akiwa na wanasheria wake wameanza mpango wa kumshawishi jugde na mahakama yake wampunguzie mda wa kifungo... mpango huo haukufanikiwa..so kidizaini kama mwanadada ataendelea kusota jela kwa hiyo miaka 8. 


No comments: