Wednesday, February 23, 2011

TANZIA


Marehemu alipokuwa amelazwa kwenye hospitali ya Ullevaal. 
Picha kwa hisani ya Abdul "DJ Pred" Mohammed Mpili.


Chama Cha Watanzania Oslo kinasikitika kutangaza kifo cha mtoto Evans wa Mtanzania mwenzetu; Abdul Mohammed Mpili kilichotokea juzi saa 5 usiku kwenye hospitali ya Ullevaal hapa Oslo.

Kutakuwa na misa kwenye kanisa la hospitali ya Ullevaal, Jumatatu 28.02.2011 saa 5 asubuhi.

Mazishi yatafanyika Jumanne Machi Mosi (01.03.2011) saa 3 asubuhi (09:00 CET).

Maelezo zaidi juu ya mazishi yanafuatia.

Abdul anapatikana kwenye namba +47 988 78 361

Mwenyezi Mungu Amlaze Pema Evans…Ameen!


5 comments:

Mtambalike said...

May Almighty Allah Rest His Soul In Peace..Ameen!

Tausi Usi Ame Makame said...

MWENYEZI MUNGU AMWEKE PEMA PEPONI.AMINI.

Jamaldeen T Bin Mazar E Shariff Ibn Zenjibari said...

DJ PRED..

Pole sana ndugu yangu.

Mwenyezi Mungu amweke pema .. Ameen

Dotto Mokili said...

Kaka Abdul..pole sana.

Ndivyo tulivyoumbwa. Sote tunaelekea huko huko. Hatujui kinamna gani, siku ipi, saa ngapi na wapi.

Lakini sote tutaishia huko huko.

Buriani Evans!

Ameen!!

JULIETH SWEDEN said...

POLENI WANA FAMILIA MUNGU ALITOA NA ANATWAA