Mcheshi, mkarimu, mcha mungu na mwenye utu. Ndio baadhi ya
maneno waliotumia majirani kumfafanua Bi Margaret Nakalila ambaye ni mkulima wa
miwa. Hata hivyo baada ya kugundua anaugua saratani, hii iliyabadilisha maisha
yake na kuwaathiri wanawe. Katika makala ya maisha peupe hii leo tunaangazia
safari yake na jinsi anavyokabiliana nayo. Mwanahabri Saida Swaleh na mengi
katika maisha peupe.
No comments:
Post a Comment