RAMBIRAMBI KWA
FAMILIA YA STEVEN KANUMBA NA WATANZANIA KWA UJUMLA
TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC
TELEVISION INATOA RAMBIRAMBI ZAKE KWA FAMILIA YA MSANII WA FILAMU STEVEN
KANUMBA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA MSIBA MKUBWA ULIOTUKUTA.KIFO CHA
STEVEN KANUMBA KIMEWAGUSA WASANII WOTE WA FANI MBALIMMBALI NA WATANZANIA WOTE
KWA UJUMLA.
TUNAOMBA KWA PAMOJA
MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MWENZETU STEVEN KANUMBA
AMEEN
TMTV
UTAWALA.
www.tmtv.co.tz
No comments:
Post a Comment