Tangazo
kwa Watanzania wanaojua kuimba kutoka kwa Alex Kajumulo
TANGAZO KWA
WATANZANIA NITATUMIA FACEBOOK KUTOA NAFASI NATAFUTA WAIMBAJI KATI YA MIAKA 18
MPAKA 25 MMOJA WA KIUME ANAYE WEZI KUIMBA NA KURAPU NA WAKIKE ANAYE WEZA KUIMBA
WOTE WAWE WANAJUA KUIMBA KINGERAZA NA KISWAHILI NA WAWE NA PASIPOTI, WANAWEZA
KUTOMA SAUTI ZAO KUTUMIA
EMAIL
SAUTI ZAO
ZIWE ZA UKWELI WAIMBE WIMBO WA ZUWENA WA MARIJANI RAJABU NATAKA KUWA SAIDIA
WANAMZIKI WA NYUMBANI KUJA KFANYA KAZI NA MIMI KAMA NILIVYOMLETA HUKU MTOTO WA
DANDU KOOL JAMES NAITAJI KABLA YA MWISHO WA MWEZI WA TANO NITAKAYE MCHAGUA
NITAMLIPIA TIKETI YA KUJA HUKU NA KUMDHAMINI VIZA YA KUFANYA KAZI YA MZIKI USA
OK KAZI HIYO HAPO ATAKAYE WEZA NA NINACHANGUA MIMI MWENYEWE..
No comments:
Post a Comment