Aur revoir Mr. Sarkozy!
Mr. Sarkozy
Hollande thanks his supporters
Duru
ya pili ya uchaguzi mkuu wa Ufaransa uliofanyika jana nchini Ufaransa, Rais Nicolas Paul Stéphane
Sarközy de Nagy-Bocsa (Nikolas Sarkozy) wa chama cha Wahafidhina,
ameshindwa. François
Hollande wa chama cha Kisoshalisti ameshinda na anakuwa Rais
wa Ufaransa kuanzia Mei 17. Hollande amepata 53% ya kura zote zilizopigwa na
Sarkozy amepata 47%.
No comments:
Post a Comment