KUGOMBANIA
NAFASI YA UONGOZI WA CHAMA CHA WATANZANIA WAISHIO OSLO NA JIRANI YAKE (CCW
OSLO)
Muhimu:
Mtu yeyote mwenye asili ya
Tanzania anaweza kugombea nafasi ya uongozi. Mnaombwa sana kujitokeza kwa wingi
ili kufanikisha zoezi hili muhimu.
Andika kwa herufi kubwa.
Rudisha jina lako kwenye nafasi
moja kati ya hizo hapo chini, kupitia barua pepe
Chama Cha Watanzania Oslo,
Wilhelm Færdensv. 2B, 0361 Oslo.
Tarehe ya uchaguzi itapangwa
kufuatana na nafasi nzuri ya wagombeaje na wanajumuiya.
Kwa ufafanuzi au maelezo zaidi,
wasiliana na CCW Oslo kwa simu +47 47227366 au barua pepe watanzaniaoslo@gmail.com
Fomu:
Jina
kamili:
|
||
Anwani ya
unapoishi:
|
||
Simu na/au
barua pepe:
|
||
Nafasi zinazogombaniwa
|
Chagua
nafasi moja tu
|
|
Uenyekiti:
|
1)
Mwenyekiti
|
|
2) Makamu mwenyekiti
|
||
Ukatibu:
|
3) Katibu
|
|
4) Naibu
katibu
|
||
Uweka
hazina:
|
5) Mweka
hazina
|
|
6) Naibu
mweka hazina
|
||
Kamati ya
utendaji (wajumbe 6):
|
7) Mjumbe
|
Chama cha
Watanzania Oslo, Norway
No comments:
Post a Comment