Wednesday, June 06, 2007


Click to enlarge photo
Gongola kukuza picha
Saturday, 28th July 2007.
Time: 21.00 - 03.30
at Gamle Banken,
Skippergata 9.
More to come..
Kaa chonjo!!!



3 comments:

Anonymous said...

Wooooooo weeeeeee !!!!!!!
Ray C....mambo mtigwa!


pwagu.na.pwaguzi@oslo.online.no

Anonymous said...

Nashukuru kwa kutuletea burudani ila tafadhalini kama mnaamua kutuletea burudani basi na sehemu au ukumbi uwe unaeleweka sio mahali padogo mno, hakuna hata mahali pa kudance ni kukanyagana tu.Pia ni vizuri mkawafahamisha waafrika wenzetu maana burudani ni watu sio watanzania 10 hao hao kila siku

Anonymous said...

Mimi nadhani jamaa wanajitahidi sana kutoa taarifa za shughuli na za mialiko kama ya Ray C. Njia wanazotumia kutoa taarifa ni zilezile walizotumia kutoa taarifa ujio wa Mheshimiwa Rais Kikwete. Ona watu walivyojaa mkutano na Rais Kikwete. Tumepewa taarifa za tafrija na za konseti, angalia wangapi Watanzania walifika. Kama tungekuwa na moyo hatuhitaji watu wa mataifa mengine kujaza kumbi za konseti. Suala la kumbi kuwa ni midogo hilo ni sawa...Kweli kumbi ni ndogo na sehemu zenyewe zinazofanyika konseti za pati zetu zinafanya wengine wetu tuogope kufika.

Tausi Usi Ame Makame